Steven Lutumo

Presenter

Steven ni mtangazaji wa vipindi vya michezo na pia mwandishi wa habari mwenye viwango vya juu kabisa. Pamoja na hayo, Steve anaenesha kipindi cha Jamii Tanzania na pia ni msanii wa sauti za matangazo yaani “voiceover artist”. Uzoefu wa miaka kadhaa katika tasnia pia kunamfanya kuwa mzungumzaji mzuri wa masuala yanayoendelea ulimwenguni. Steve anapaita Country FM ‘nilipozaliwa”.