Herieth Rebman

Programs Manager

Herieth ni mwanahabari mwenye miaka zaidi ya mitano katika tasnia, akiwa mtangazaji, mwandishi wa habari halikadhalika mtayarishaji wa vipindi. Kwa sasa anatangaza kipindi cha Morning Mirror na pia ni msoma habari mahiri. Herieth na mwenyeji wa Arusha.