Evelina Nevele

Presenter

Evelina ni mtangazaji wa vipindi viwili ambavyo ni Jamii Tanzania na Dira ya Wanawake. Anajihisi fahari kuwa Country FM kwa sababu ni chombo kinacho elimisha na kuburudisha jamii. Eve anatarajia kuwa mtangazaji bora zaidi Tanzania.