Devotha Romanus

Presenter

Devotha aka Mama Junior ndiyo chanzo cha habari zote za mjini. Huyu ni nahodha wa kipindi cha Mambo Jambo ambacho kinawapasha wapenda udaku yale yote yanayojiri kwenye kona na chochoro za mitaa ya Iringa na kwingineko. Je, unataka ‘ubuyu’? Kama ndivyo basi mcheki Devo, dada wa madada wote.