Changamoto sekondari ya Kiponzelo zaiteteresha taaluma

Na Philberta Kabonyela | Machi 5, 2019 Baadhi ya changamoto zinazopatikana katika shule ya Sekondari Kiponzelo wilayani Iringa mkoani hapa zimeelezwa kusababisha kushuka kwa taalumaa katika shule hiyo. Akizungumza na redio Country FM, makamu wa bodi ya Shule ya Sekondari Kiponzelo amesema kuwa shule hiyo imekuwa ikikabiliana na changamoto kadhaa ikiwamo upungufu wa madawati kufuatia.